Umeambiwa ni mrembo, huwezi ita mke wa mtu mrembo.Duh..... kwani alikuwa ameolewa?
Duh.... hii october mbona kama ina gunduSijajua mkuu ila ana Peter
rya uchumba kaenda nayo
Pole pole... uchunguzi unaendelea!Uchunguzzi unaendelea...
Mtu akiolewa haitwi mrembo mkuu?Umeambiwa ni mrembo, huwezi ita mke wa mtu mrembo.
Nilipoona Tattoo tu ikabidi nirudi nyuma. RIP in advance mrembo umeumaliza mwendorip
Merry
D
Ukitaka kujua nenda kwa mtu halafu mwite mkewe "shemeji mrembo" uone kama utakaribishwa!Mtu akiolewa haitwi mrembo mkuu?
Hahahahhhh inategemeana... na huyo mtu ananitafsiri vp!Ukitaka kujua nenda kwa mtu halafu mwite mkewe "shemeji mrembo" uone kama utakaribishwa!
Labda uwe mwanamke haina shida, siyo janaume na mbupu zake.Hahahahhhh inategemeana... na huyo mtu ananitafsiri vp!
Alifikaje,Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, akalazwa,akatibiwa, na walio mpokea hawajui chochote kuhusu marehemu?
Sema mental health is real, mtu anaweza akakuchapa hata risasi hataki mazoea...Labda uwe mwanamke haina shida, siyo janaume na mbupu zake.