KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Kwani hospitalini wanataka utambulisho wa wazazi wako au wa kwako mwenyewe mgonjwa.....!?Alifikaje,Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, akalazwa,akatibiwa, na walio mpokea hawajui chochote kuhusu marehemu?
Oya dogo kadhi mkuu jikite kwenye mada iliyopo jamvini please.Umeambiwa ni mrembo, huwezi ita mke wa mtu mrembo.
Ndugu wajitokeze wakalipe bills za hospital, itakua hao marafiki na majirani baada ya kuonyeshwa mkeka wakajitoa kwamba aah hapana huyu mimi sio ndugu yangu ni jirani yangu tuKwahiyo ishu sio nan kampeleka hosp. Ishu ni ndugu wajitokeze wakamzike ndugu yao kama inavyostahili.
Mtu akishakufa hana chake tena duniani....ni jukumu la waliohai kama kumsitiri au kumuacha kama mzoga!!!!Kuna wale watu utawasikia wakisema SITAKI MAWASILIANO YOYOTE NA NDUGU NIMEWAKATIA LINE. haya ndio yanaweza kuwa matokeo yake.
Kuwa na adabu Kijana, Nina wajukuu watatu toka kwa binti yangu wa Kwanza.Oya dogo kadhi mkuu jikite kwenye mada please.
Pamoja sana tuπ€πΏππΏ
Kwa hio ndio vitendea kazi vyako unavyoviset ukishikwaa na upwiru sio?Daaaah! Marehemu ana vitu vyangu kabisa kipini puani mixer kujichora mikono na rangi nyeupe peeeeh aiseee. Apumzike kwa amaniπ
Dada pichani kwa jina Merry Patrick Daniel, mkaazi wa mtaa kingugi amefariki kwa maradhi na mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke
Hajulikani ndugu yake yeyote wakati wa uhai wake marehemu alidai ametokea mkoa wa Arusha na hana ndugu hapa mjini
Tunaomba tusambaze taarifa hii ktk ma group mbali mbali na media mbali mbali,wapatikane ndugu zake popote walipo
Mawasiliano 0713267121/0789267121
M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kingugi.
Au toa taarifa kituo chochote cha polisi.
Taratibu za mazishi zinaendelea kwa kibali cha jeshi la polisi kituo cha kizuiani (Maturubai)
Asante π
Hahahahahaaaaa haya GT heshima kwako.Kuwa na adabu Kijana, Nina wajukuu watatu toka kwa binti yangu wa Kwanza.
Na hii ni kweli kabisa ukifa ushakufa huna kingine unaweza kukifanya maana umeshakufa wakitaka uliwe na kunguru naa mwewe hio ni juu ya waliobaki sio jukumu lako tena watakuzika ManispaaMtu akishakufa hana chake tena duniani....ni jukumu la waliohai kama kumsitiri au kumuacha kama mzoga!!!!
Huo muda atatoa wa kujiremba?Mtu akiolewa haitwi mrembo mkuu?
Labda ni shida kwa walio hai, hata hivyo serikali ni incompetent na wanakosea sana kutangaza kwenye umma. Njia rahisi ilikuwa ni kuweka Sheria tu kwenye ajira na nyumba za kupanga kila mtu ampe muajiri wake au mwenye nyumba taarifa za "next of kin"Kuna wale watu utawasikia wakisema SITAKI MAWASILIANO YOYOTE NA NDUGU NIMEWAKATIA LINE. haya ndio yanaweza kuwa matokeo yake.
Ni kweli kabisa.Mtu akishakufa hana chake tena duniani....ni jukumu la waliohai kama kumsitiri au kumuacha kama mzoga!!!!
Ni watu hawajui tu.Ndugu wajitokeze wakalipe bills za hospital, itakua hao marafiki na majirani baada ya kuonyeshwa mkeka wakajitoa kwamba aah hapana huyu mimi sio ndugu yangu ni jirani yangu tu
Mrembo ni mrembo tu,Huo muda atatoa wa kujiremba?
UmekumbukaNilipoona Tattoo tu ikabidi nirudi nyuma. RIP in advance mrembo umeumaliza mwendo
Hakuwa na simu ? Majirani wa karibu nae wanasemaje hakuwa hata na rafiki ? Alifanya kazi wapi hapo daresalaamMerry Patrick Daniel, ambaye kwa mujibu wa taarifa zilizopo amefariki dunia na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, Dar es Salaam, aliwahi kusema akiwa hai kwamba yeye ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo, bado haijafahamika alikuwa akishi au anatokea eneo gani ndani ya Arusha.
Kwa mtu yeyote anayemfahamu Merry Patrick Daniel, hasa ndugu, jamaa au marafiki zake wa Arusha, anaombwa kutoa taarifa ili ndugu zake waweze kupatikana.
Kwa taarifa zaidi: +255 689 848090 Tafadhali sambaza taarifa hii ili kuwasaidia ndugu zake kupatikana.
View attachment 3685725