Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 512
Nawatakia Xmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio 2009 tutakapozaliwa Tanzania mpya ambayo haitajali kinga kwa wale walio wezi wa damu za watanganyika.
Cheeers tukutane tena hapa JF na mwaka 2009 uwe ni mwaka wa mufaka na mustakabali chanya kwa taifa letu. Wote walioibia nchi tutawaua 2009 hiyo hiyo ili tubaki tulio safi. Au mnaionaje wana JF???