Merry X-mass JF Members!!

Status
Not open for further replies.
Asante na kwako pia, Mungu akulinde, akutunze, akuhifadhi na akutetee kwa kila jambo.
 
nawe pia uwe na sikukuu njema......apana potea tena namna hii mwaka ijayo....sawa
 
Nawewe pia ila karibu hapa counter ya chini!!
 
Mery X-Mass to u too broda, and to All Jamii Forums Members
 
fanya siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa bwana wa majeshi kuwa siku ya kukaa chini na kutafakari mwenendo wako kwa mwaka mzima.
heri ya krismass na wewe pia,na bwana akuangazie.
 
nawe pia uwe na sikukuu njema......apana potea tena namna hii mwaka ijayo....sawa
Nimerudi na Nguvu mpya! Yesu wangu akulinde Daima!
 
Shukrani ndugu nawe pia uwe na xmas njema yenye furaha na amani:whoo:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…