Meru Kenya kunawaka moto saa hii

Ahsante kwa taarifa na video mkuu,Tatizo nini .
 
Wanafunzi wa Meru Technical Polytechnic waligoma na kuandamana baada ya moja wao kuawa. Mwanzo wa video inaonyesha gari la jeshi la polisi limekamatwa na kuendeshwa na wanafunzi wa shule hio ya Meru Technical.
 
Jombaa, Meru Polytechnic si ilifungwa 'indefinately' jumatatu tarehe 9?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…