Meseji hii ilinishtua sana!

Meseji hii ilinishtua sana!

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,313
Nililetewa meseji na rafiki yangu tarehe 31.12.2010

"umesikia habari za ajali mbaya ya rafiki yako?tupo hospital docta katuambia hawezi kupona, watu hawaamini ,wengine wanalia , mie binafsi machozi yananitoka, alikuwa muhimu sana kwangu, anatutoka kwa wakati usio muafaka, imagin alivyokuwa karibu yetu siamini kama kweli sitamwona tena marehemu mtarajiwa mwaka 2010"

Imekaaje kwa sisi wagonjwa wa moyo?
Je wewe ulipata meseji gani?
 
Loooo kaka hiyo siku baada ya kupata hiyo meseji kwa kweli hata mimi nilichanganyikiwa,ilibidi nipige simu kuhakiki kama kweli MWAKA ana hali ambayo sio ya kupona,maana kuna rafiki yangu anaitwa MWAKA, na kweli huwa ni dereva, hivyo nilifahamu kuwa lazima amepata ajari,mbaya zaidi sipo TZ nipo DRC, Hiyo meseji ilikuwa funga mwaka kwangu.
 
loooo kaka hiyo siku baada ya kupata hiyo meseji kwa kweli hata mimi nilichanganyikiwa,ilibidi nipige simu kuhakiki kama kweli mwaka ana hali ambayo sio ya kupona,maana kuna rafiki yangu anaitwa mwaka, na kweli huwa ni dereva, hivyo nilifahamu kuwa lazima amepata ajari,mbaya zaidi sipo tz nipo drc, hiyo meseji ilikuwa funga mwaka kwangu.

mie ilikuja kwangu nusu na na rafiki yangu alikuwa anasafiri siku hiyo yaani i was shocked vibaya mno , ikapidi nimpigie huyo kaka akaanza cheka nilipata taabu kidogo na hii sms.
 
mie ilikuja kwangu nusu na na rafiki yangu alikuwa anasafiri siku hiyo yaani i was shocked vibaya mno , ikapidi nimpigie huyo kaka akaanza cheka nilipata taabu kidogo na hii sms.

Kama unapresha si kazi hapa?

Hizi meseji inabidi kuzichuja kabla hazijatumwa maana mh!
 
mimi nililetewa report yangu ya mwaka aibu!
 
mimi nililetewa report yangu ya mwaka aibu!

Hee nani alikuwa anakumonitor mwaka mzima ?

Inasemaje hiyo report yako jamani
 
Mi ningefurahi kwani bible inasema usihuzunike .......waliolala mauti tutakuja kuwaona siku ya mwisho yesu atakaporudi...........zaidi ningeendelea kumwombea apokelewe salama na mungu mbinguni..........alafu ingekuwa km meseji na kujiuliza mimi nimejiandaaje na kifo?......................
 
Hapo ni baada ya kupokea na kukubali but zinashtua sana hizi sms.
 
Back
Top Bottom