Loooo kaka hiyo siku baada ya kupata hiyo meseji kwa kweli hata mimi nilichanganyikiwa,ilibidi nipige simu kuhakiki kama kweli MWAKA ana hali ambayo sio ya kupona,maana kuna rafiki yangu anaitwa MWAKA, na kweli huwa ni dereva, hivyo nilifahamu kuwa lazima amepata ajari,mbaya zaidi sipo TZ nipo DRC, Hiyo meseji ilikuwa funga mwaka kwangu.Nililetewa meseji na rafiki yangu tarehe 31.12.2010
"umesikia habari za ajali mbaya ya rafiki yako?tupo hospital docta katuambia hawezi kupona, watu hawaamini ,wengine wanalia , mie binafsi machozi yananitoka, alikuwa muhimu sana kwangu, anatutoka kwa wakati usio muafaka, imagin alivyokuwa karibu yetu siamini kama kweli sitamwona tena marehemu mtarajiwa mwaka 2010"
Imekaaje kwa sisi wagonjwa wa moyo?
Je wewe ulipata meseji gani?
loooo kaka hiyo siku baada ya kupata hiyo meseji kwa kweli hata mimi nilichanganyikiwa,ilibidi nipige simu kuhakiki kama kweli mwaka ana hali ambayo sio ya kupona,maana kuna rafiki yangu anaitwa mwaka, na kweli huwa ni dereva, hivyo nilifahamu kuwa lazima amepata ajari,mbaya zaidi sipo tz nipo drc, hiyo meseji ilikuwa funga mwaka kwangu.
mie ilikuja kwangu nusu na na rafiki yangu alikuwa anasafiri siku hiyo yaani i was shocked vibaya mno , ikapidi nimpigie huyo kaka akaanza cheka nilipata taabu kidogo na hii sms.
Mi ningefurahi kwani bible inasema usihuzunike .......waliolala mauti tutakuja kuwaona siku ya mwisho yesu atakaporudi...........zaidi ningeendelea kumwombea apokelewe salama na mungu mbinguni..........alafu ingekuwa km meseji na kujiuliza mimi nimejiandaaje na kifo?......................