Meseji Muhimu kuhu Makonda ambayo ilichukuliwa kirahisi japo Rais akaielewa

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo na Pastory Katambi wakipeta tena kwa mbeleko ya refa

 
Chura kiziwi ndiyo kwanza anamkumbatia na kuwatolea maneno ya kifedhuli nchi wahisani kwa concern yao juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
 
pompeo amekaa muda mrefu bila ajira dah, maisha bana 🐒
 
Lakini pamoja na yote hayo kato aliliwa kichwa!

Sasa chura anapomkumbatia mtajwa nae atanywewa supu!!?
 
Huyo kijana amekwenda Kwa Nabii kapolaw na kupakwa mafuta, kwamba Kuna KITI atakikalia tena kikuu na hatutoamini,

Eti tutaishia kusema " Tulisali naye"🤔
 
Labda konda ni waziri wa mambo ya ndani ajaye Ili kusafisha njia ya mama kupita sio!!?

Kazi iendelee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…