Meseji Muhimu kuhu Makonda ambayo ilichukuliwa kirahisi japo Rais akaielewa

Kwahio chura hakuielewa hiyo meseji ndio maana ya hizo tetesi zinasikika!!?
 
Hivi jamaa si walimuwekea sanctions? Miamala yake nafanyaje? Kuna benki inaruhusu kupitisha miamala yake?
 
Amekuwa kimya sana huyu mwamba, hata nyuzi zake humu pia ni kama zimepotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…