Sawa mkuu..AD
I don't jump into any conclusion and i'm not judging any, any way inabidi Graca mwenyewe awe smart and she shouldn't entertain that kind of behaviour,the decision remain to be hers, all we can do is just to see how best we can try to give our advice
inavyooelekea ni wanapendana sana
na labda hawajawahi gombana kwa hii ishu
( Ntamuuliza Graca) kwa hiyo kwao hii sio
ishu ndogo kama hawajazoea kutuangana
Kweli ni vema ku fix vitu kama hivi mapema
ili visije kwa vikubwa zaidi ndo maana nikasema
waongee kwanza halafu kuanzia hapo ataelewa
msimamo wa BF wake kwa kiwango fulani..
na hii itamsaidia ku make decision ya nini
kitakacho fuatia..
Sio Vema ku jump kwenye conclusion
straight away ..
Hope umenielewa ...Asante.
kwa kweli anawivu si mchezo huyo, mkioana ataweza kukudunda ngumi etc
inabidi muongee na umweleze usijifanye mbabe mapenzi yakavunjika huu ndio muda wa kurekebishana tabia itawasaidia mbeleni
pia sio vizuri kumwonyesha mwanaume kuwa huna kazi ingine ni yeye tu 1st ndio unamuamkia usiku wa manane. Weka muna kulala etc
n.b. Kuwa macho pia unaweza kuta kuna mtu anamwambia mambo juu yako na inambadili mawazo hii ni kuicheck out as imetokea watu na wanagundua wakati mambo yameisha
unajua watu usema maneno uumba. Katika yote aliyokwambia hilo la kusema "kuna watu wa maana sana zaidi yako" lifanyie kazi. Na ameshalisema hawezi kurudisha mdomoni. Utaishi nalo hilo milele kuwa wewe si chochote si lolote.
Nakushauri hata mki reconcile from now on kuwa aware jamaa anaweza kukupiga chini any time t.
Kwanza uhusiano wa muda mrefu una uzuri na ubaya wake. Uzuri ni kuwa mnafahamiana vizuri. Ubaya ni kuwa mnakuwa hamna tofauti na wana ndoa. Mnachokana.
Sasa dada akili kumukichwa! Pili wapendwa tuwe makini na kauli. Tufikiri sana kabla ya kuropoka! Hilo neno ningeambiwa mimi lingeniumiza forever!
thanx dia,nimemwacha maana nimejaribu kumwelewesha the whole situation kua nilipitiwa na usingizi lakini hanielewi.
Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.
Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku mnachati lakini kutokana uchovu wa kazi na mizunguko ya mchana unajikuta umepitiwa na usingiz,anakutext after 30mins ndo unaiona,unampigia kama mara tano ndo anapokea,sasa mnapoonana anakushutumu kuwa umemdharau na kukuinsult kua huna maana,eti watu wapo wengi sana wa maana zaidi yako,u have nothing special kumtreat hivyo etc,etc. Kama ni ww utafanyaje?
graca huyo anatingisha kiberiti, kula kimya kuonesha you dont care, atakumiss.
inaonekana kuwa aonavyo yeye ni kuwa hukupashwa kuwa naye ndio maana anasema kuna wengine wa maana zaidi yako.hivyo kwa hali hiyo anataka uwe kama askari kusikiliza kile anachokuambia kwa njia ya simu mda wote.inaonekana hataki wewe ulale,hata hivyo kwa nini akuweke busy kiasi hicho angali hata hajajitambulisha kwenu?.nionavyo mimi ni kuwa either ana mtu mwingine hivyo ili usigundue anatafuta namna ya kujificha kwenye hasira za kutengeneza ili usije mkamata kwenye cheating anayofanya.
unajua nini kiongozi
wakati mwingine situation inaweza kuwa the opposite
kwamba kwa vile mtu keshajua unampenda, u have stayed together na kadhalika.....anaanza taratibu kupunguza attention kwenye mambo ya msingi kama mawasiliano, mfano mtu unaweza kuwa umempigia, umemtext nk lakini hakuna majibu na excuse ikawa simple kwamba 'simu ilikuwa silent' and the like, but u may have the feeling (sio kuwa insecure kama wengine walivosema hapa) kwamba hii ni kwamba mtu haipi uzito unaostahili...
Graca hivi umesema kuwa ni first time hii inatokea? Ulimwelezaje (kwa lugah gani) kwamba ulikuwa umelala so hukuona text yake? Manake hii inachangia
wito wangu kwa mlio kwen mahusiano, thamini sana mawasiliano....ukiamua kupiga kimya for some reasons mwenzio akapiga kimya pia basi hapo kutokuelewana kunaanza.