GE2025 Meseji za TAKUKURU: Mpiga kura Makini hukataa hongo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na mimi nilitumiwa huu ujumbe ila nikacheka sana maana wanahangaika na wananchi huku wahusika wanatoa hizo hongo wanaangaliwa tu

Mfano mzuri ni ile habari ya Babu Tale kugawa kanga na yeboyebo kwenye kampeni halijachukuliwa hatua yeyote na cha kushangaza Polisi nao walikuepo eneo hilo

Kweli rushwa ni mbaya akipokea mwingine ila ukipewa wewe ni tamu, hawa TAKUKURU tayari wamepewa fwedha kwaiyo wanafanya kazi ya kutuma meseji zao ili kuonekana kuna mikakati inaendelea kukomesha ruswa

​


Ikanibidi nitafute haka ka video nicheke vizuri πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 1760091643297.png
    126.4 KB · Views: 34
Wajinga hao wamekaa kutuma meseji tu zisizo na maana wakati Mi-CCM inatoa rushwa wazi na wanajua
 
Hivi unafanyaje ili kublock hizo msg?
zinakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…