Meseji zinazo maliza nguvu wanaume..

mwipwa

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
102
Reaction score
257
Kipindi cha kutongoza mwanamke huwa ni kipind kigumu sana kwa mwanaume haswa pale anapokua seriously na huyo mwanamke .

Kipind hichi cha teknolojia vijana weng tumejikita kutongoza kwa njia za meseji na si kwa ana kwa ana kama zaman.

Hapo ndipo hukutana na changamoto kibao za kukataliwa kwa meseji kibao za ajabu ajabu kutoka kwa wanawake hawa....

Meseji hizi hukata maini kabisa na unataman hata kupasua simu..

Tupe meseji nyengine ambayo hukata maini kabisa......
 
"baby/luv nikwambie kitu"

hapa ikiingia tu kama simu ilikuwa mkononi, kabla kule haijasoma delivery report nazima simu mpaka jioni!

afu namtukana kimoyomoyo!
Umetisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…