Meseji zinazo maliza nguvu wanaume..

Kwa sasa hivi siitaji kuwa ktk mahusiano kiufupi siitaji mpenzi
Yaan muda mwingine wanaboa sana maisha bila mapenzi yataenda vipi huyo Adam kiumbe wa kwanza kaambiwa asile tunda na akala itakuwa ww haaa
 
"Wewe sio type yangu" hii ilinifanya nijiangalie juu mpaka chini
 
Mimi: Nakupenda sana ujue, nahitaji uwe mpenzi wangu
Yeye: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chelu hadi wewe, kweli dunia inakaribia kwisha
Mimi: ( nazima data, nazima simu , nazima taa, napanda kitandani lakini silali. Nawaza kwani amenionaje mimi)

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Gru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…