Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Mrembo!! Katafute uo mzigo alafu uje nikuchumu.fataki music ...
mesen selektaaaa.....
zamu ya nani Leo ..
[emoji2]Mrembo!! Katafute uo mzigo alafu uje nikuchumu.
Zamu ya Manfongofataki music ...
mesen selektaaaa.....
zamu ya nani Leo ..
usijali Baharia wangu!Zamu ya Manfongo
Haaa. Haaa. Haaa.usijali Baharia wangu!
zamu yako itafika keshoHaaa. Haaa. Haaa.
Huyu jamaa nilimwelewa kwa biti ya kwanza ile kanyaboya hii ameimba kama teknoDaah!!! Aisee huyu jamaa anajua good music... Namuelewa sana toka 'haya' mpaka huku anapoelekea.
Nsingependa kuongea sana wadau ningeomba mtafute mzigo wake mpya unaitwa 'kiss and love' ni hatari aisee.
Salute sana bruh!!.
Fetality Musicfataki music ...
mesen selektaaaa.....
zamu ya nani Leo ..
Weka Mwamba wekaaaaa! Wee utakuwa wa huku kwetu huku!zamu yako itafika kesho
weka wekaa!!!Weka Mwamba wekaaaaa! Wee utakuwa wa huku kwetu huku!
Mbona miondoko yake unique sana.. Napia kaanza nayo wayback sana mkuu kabla hata ya tekno ku_trend.Huyu jamaa nilimwelewa kwa biti ya kwanza ile kanyaboya hii ameimba kama tekno
Baba mzigo.. Upo released tayari mimi hapa na rape the replay button.Ushatoka kwani[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Fataki music heheheh!! Fetality bwana au we ni zile timu mbili zinazorogana.fataki music ...
mesen selektaaaa.....
zamu ya nani Leo ..