Anajitahidi ila production zake ziko chini ya kiwango sema Bongo quality ya music mixing na mastering raia hawajali ndilo linalo saidia wasanii na peoduction media kibao.
Ni wachache wanaofanya mziki kwa kiwango kizuri studio nyingi hasa wakati huu ni hatari sana