Messi ni mkali wa Barca, hasa katika historia ya Barca. Maradona ni mkali wa Argentina pia Napoli. Messi ana hadhi kubwa Barca ila hana hadhi kama iyo Argentina. Maradona ana hadhi kubwa Napoli na Nyumbani kwao Argentina.Huu mjadala imetawala kwa sasa duniani kote nani zaidi kati ya Mess na Maradona..
Binafsi Mess ni bora zaidi ya Maradona, licha ya kwamba Maradona sijamwangalia wakati wake zaidi ya kwenye Mikanda na clip fupi fupi kwenye mitandao.
Wakongwe wanasema Maradona alikuwa mkali, lakini kwa muda mfupi..lakini huyu kiumbe Mess hajawahi kushuka toka dunia imtambue.
Huu mjadala imetawala kwa sasa duniani kote nani zaidi kati ya Mess na Maradona..
Binafsi Mess ni bora zaidi ya Maradona, licha ya kwamba Maradona sijamwangalia wakati wake zaidi ya kwenye Mikanda na clip fupi fupi kwenye mitandao.
Wakongwe wanasema Maradona alikuwa mkali, lakini kwa muda mfupi..lakini huyu kiumbe Mess hajawahi kushuka toka dunia imtambue.
Maradona alikuwa bora kwa wakati wake ila Messi ndio bora wakati wote.
King Messi ni balaa
Uliwahi muona Messi?Muliwahi muona Maradonna ?
Uliwahi muona Messi?
2014 alifunga goal 4,timu ikafunga 7 . I mean wenzie 3.Sana tu tena. Na bado
naendelea kusubiri goli lake la kwanza ndani ya World cup knockout stage. Tunasubiri world cup yake ya 5.
Magoli 65 yameweza kuipa nini argentina upande wa vikombe? Ukiachana na olimpiki 2008.2014 alifunga goal 4,timu ikafunga 7 . I mean wenzie 3.
Messi mfungaji Bora wa muda wote Argentina,63 au 65 goals.
Maradona 34 goals na kashastaafu
Argentina ni Finalist world cup2014,Na mataifa ya amerika kusini 2015 na mataifa yote America 2016Magoli 65 yameweza
kuipa nini argentina upande wa vikombe? Ukiachana na olimpiki 2008.
Naona swali langu halijajibiwa.Argentina ni Finalist world cup2014,Na mataifa ya amerika kusini 2015 na mataifa yote America 2016
Hiyo sio riadha,ni watu kushirikiana. Huko Barcelona anashirikiana na wenzie wanashinda vikombe. Hakuna katika dunia hii mtu awe vizuri mwenyewe halafu washinde ubingwa wa soccer labda bahati. Usajili was mchezaji huangalia mtu anavyocheza sio idadi ya makombe.
Huyo Maradona Club level kachukua ubingwa gani kumzidi Messi. Utakata awezajitetea kuwa alikuwa na average players,beki uchochoro unafunga 2 mnapigwa tatu. Watu wanataka National team result ndio ziwe kipimo ,wale ambao heroes wao wamefanikiwa huko zaidi. Mimi sijawahi kuona Full match za Maradona,Kama hivi tunavyoona Barca wanapigwa 3-0 kwa Roma,Messi ndani. Tunaoneshwa vipande vitamu tu vya Maradona.
CR7 ,Messi Wapo kwenye teams ambazo wenzao Ni average. George Weah kapewa uchezaji Bora wa dunia '95 wakati Liberia haijawahifuzu World Cup.
2014 alifunga goal 4,timu ikafunga 7 . I mean wenzie 3.
Messi mfungaji Bora wa muda wote Argentina,63 au 65 goals.
Maradona 34 goals na kashastaafu
Mi nadhani labda watufafanulie maana ya mchezaji bora wa muda wote wao huwa wanamaanisha nn.hayo manne yote yalikua makundi na vibonde akina Iran na Nigeria. Kuanzia knockout round hajawahi funga goli. Na ameshacheza world cup 4. Huyo ndie munaemwita greatest player ever !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mi nadhani labda watufafanulie maana ya mchezaji bora wa muda wote wao huwa wanamaanisha nn.