Mess vs Maradona nani bora kwa muda wote.?

Wahenga acheni kutusumbua na takwimu zenu za World Cup, nyakati zenu soka bora zaidi lilipigwa katika ngazi ya Timu za Taifa hususani World Cup, nyakati hizi soka bora zaidi na la ushindani zaidi linapigwa katika ngazi ya Club hususani Uefa Champions League ambapo Messi anabaki kuwa Mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…