Message from ifm via mobile phones

donMramba

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
42
Congratulation from IFM.
You have been selected to join IFM for your Bachelor degree course. Registration will start on 16th September 2013 for privately sponsored students. For HESLB sponsored students Registration will open from 15th October 2013. For more information visit Home - The Institute of Finance Management or come to the admissions office at IFM.:argue:
 
Wadau naombeni maelekezo,wanaposema privare sponsors students na HESLB students,wanamaanisha nn?
 
Wadau naombeni maelekezo,wanaposema privare sponsors students na HESLB students,wanamaanisha nn?

Private sponsor ni wale ambao hawalipiwi ada na Heslb wakati Healb students ni wanaonufaika na mkopo
 
Nimeiona....it means mkopo utachelewa sana kutoka....halafu mtu ukisema IFM chuo cha kata ni kujidhalilisha,watu wanakuona kilaza.
 
.........
Huo ndo uongozi bora yaani nimefurahi sana .....njia hizi ziigwe na vyuo vingine Hata taasisi zjngine pia

Big up IFM
 
Nimeiona....it means mkopo utachelewa sana kutoka....halafu mtu ukisema IFM chuo cha kata ni kujidhalilisha,watu wanakuona kilaza.
Wewe kama sio chuo cha kata ungeweka first choice hapo..mbona uliweka 2nd choice??coz ulijua magumashi hapo..ila nawatakieni kila la kheri but hicho chuo rushwa nje nje na rafiki yangu amemaliza hapo kimagumashi tu maana alikua anajua kucheza na walimu..!!
 
Hata ingekuwa chaguo la ngapi lakini na 13 yangu nilikuwa na wigo mpana tu wa kwenda vyuo vingi ambavyo we unadhani ndio vyuo....ila fact kubwa ni kwamba nilikipenda ndo maana nikaweka chaguo la pili,kama ni kuangalia title mbona mzumbe nimeweka chaguo la 4 huko??...ni kwa sababu ifm kwangu amongst best place when it comes to business studies....haya mambo ya rushwa na ngono yatakuja iwapo tu utayaentertain asee....hata uko ardhi ukitaka kuleta mchongo wa rushwa watu watakula pesa maisha yataenda utabeba cheti chako upige mwendo ila kichwaani ni empty set.....I KNOW WHAT I WANT,I KNOW WHAT I'M DOING
 
Walimu wa ardhi hawana njaa..na hio kitu pale haipo kabisa kama hujui we uliza..utaanzaje kumuhonga dr au profesa??..usijidanganye ifm inajulikana kwa umagunashi..nendeni mkachukue magamba mrudi mtaani kusotea ajira..
 
Kwa maandishi tu napima uelewa wako....hii comment ya mwisho kwangu......kila la kheri uko ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…