Message from ifm via mobile phones

As long as tunakutana humu naomba mungu tuwe pamoja miaka 3 mbele tutajua nani amevuna nini......

Mimi sio miaka mitatu kama wewe mimi ni minne na pia mimi sisomi course ya kusaga soli kitaa kutafuta kazi,nasoma course kwa malengo na nimeshajua nikimaliza nafanya nini so wala usinisubirie,,watu wa accounting mnajulikana maana mnakata miaka mi5 sometimes huna hata tempo..sikuombei mabaya lakini course yako na course yangu kwa upande wako ushindani upo juu..mimi course yangu tanzania hii ipo ardhi tu na tupo watu 60 tu.
 

Ukitafuta kuna thread humu inaitwa je umepata kozi ya ndoto yako??...mule niliongea vizuri tu kuwa nasoma lakini siko kizembe kutegemea elimu tu,nimepewa kipaji, na nikuhakikishie tu kitaanza kunipa pesa siku si mingi...kaa ukisubiria miaka 5 ndo uanze kushika pesa wenzako tunahustle tushike sasa hivi...
 
(Vyuo vya kata ndio unatumiwa sms)
pole sana ww unayedhani IFM chuo cha kata na unaedhani eti ardh ni bora kuliko IFM. ni sawa mana unaonekana unaenda chuo kwa jina tu na unadhani chuo kilichoanza mwaka 2007 kina weza kuwa bora kuliko chuo kinachotoa wahasibu bora kabisa tz, fanya research kabla ya kuongea.mimi nimesoma ifm na nilisoma HGE na nilikuwam na div one point 8 mwaka 2006 nilikuwa na sifs zote za kusoms chuo chochote kile coz ya biashara na hapo unapodhani ww ni dili me sikuona kama ni dili,

pili kwa issue ya pesa hakuna walimu wanalipwa na kusomeshwa vizuri kama wa ifm uliza hata walimu wako watakwambia.

tatu hakuna chuo wanafunzi wanasoma vizuri kama ifm. kila darsa lina ac waulize mlima zile theater zao utalia dr assad akiwa anafundisha wengine wapo nje wanachungulia.

nne kuhusu ulaghai hiyo ni tabia ya mtu hata huko watu pia hawasomi wanasubili kuibia siku ya mtiahani na chuo mwalimu ndiyo anayeamua ww unarafiki yako amefanya magumash ifm mimi ninao marafiki walifanya magumashi udsm na wakatoka.

tano ajira sokoni ipo kwa watu waliofaulu vizuri na wale walio na uwezo wa kuandika na kujibu maswali hawaangalii umetoka ifm au uclas au udsm. kama huamini toka na pass yako uone.

sita nenda kwenye organization za mana kama TRA, auditing firms nenda pale mhasibu house angalia records utajua ifm ni nn?

saba vyeti vya ifm vinakubalika duniani kote. mimi nilikwenda kufanya master marekani chuo kimoja kinaitwa saginaw valley state university wenzetu wanatambua degree za miaka minne tu nilikutana na jamaa mmoja anatoka hivyo vyuo vyenu anahangaika. baada ya kuwa amewakilisha vyeti vyake wakamwambi kuna madarasa lazima ayasome kama cret 14 hivi ndiyo aweze kusoma masters. credit 14 ni mwaka mzima huo mana ni masomo kama nane hiv na credit moja kwa international student ni dola 955. alikata tamaa aliponiona nikamwambia nina kacheti kangu ka ifm akadhani itakuwa kama yy alishangaa kuona among masomo saba aliyoambiwa lazima ayasome me nilipewa somo moja tu la IT ambalo niliruhusiwa kulisoma hata mwishoni. nikaingia darasani kugonga masters yangu ya finance.

sasa wewe kalia kuwaza eti chuo cha kata unadhani kusoma udsm au uclass kutakupa kazi. mana udsm ukiondoa bcom telecom na economics idala zengine hadi three zile zilizochoka wanachukuliwa. so far wajinga wapo wengi tu pale kama hujui.

udsm UE wanafanyia library watu mia tano wasimamizi wawili au watatu full kusaidiana kitu ambacho IFM hakuna chumba kikubwa wanafunzi mia walimu saba utaweza?

kwangu IFM kinabakia kuwa chuo bora kabisa japo mapungufu yapo na siyo ifm tu hata huko udsm na uclass yapo pia.

ushauri wangu kwako kama bado ni mwanafunzi soma kwa bidii usitegemee chuo kukubea.
 
Blueprint you killed it man,....darasa zuri sana kwa huyu dogo,hajui na hajui kama hajui,anaishi kwa kumezeshwa tu....ana mengi ya kujifunza kabla ya kukua kiakili famba huyu anasumbuliwa na utoto
 
Last edited by a moderator:

wewe kumbe hamna kitu kabisa..unajua kabla ya kuwa Ardhi university kilikua kinaitwaje?kabla ya uclas kilikua kinaitwaje..sisi tulikua institute kama nyinyi miaka ya 70 na dingi yangu kasoma hapo..sio nyinyi mlioanzisha degree mwaka 2008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…