Au kwann tusiwe na kismart tochi, Cha kuwa tunahifadhi zambi zetu afu tunakiacha kwenye gari tukirudi nyumbani?๐ค๐คMtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika kila siku kufumaniana meseji kweฬnye simu za wenza wao meseji nyingine unakuta zipo kwenye simu kwa mda mrefu. Kwanini hizo meseji mkimaliza maongezi yenu msizifute mnaziacha huko kwenye simu za nini? Maana mambo mengine mnajitakia wenyewe
Si ndiyo? Unakuta hadi ana meseji za mwaka jana kwenye simu huwa najiuliza za nini sasaAu kwann tusiwe na kismart tochi, Cha kuwa tunahifadhi zambi zetu afu tunakiacha kwenye gari tukirudi nyumbani?๐ค๐ค
Huyo haudhurii vikao, embu nipe namba yake, afu na wewe unakagua ya nini sasa? afu ukiona haukuti chochote jua huyo ameadvance kashakuwa nguli!Si ndiyo? Unakuta hadi ana meseji za mwaka jana kwenye simu huwa najiuliza za nini sasa
Na sie tusio na magari tuziache kwenye daladala au sioAu kwann tusiwe na kismart tochi, Cha kuwa tunahifadhi zambi zetu afu tunakiacha kwenye gari tukirudi nyumbani?๐ค๐ค
Kwa mangi dukani๐ au ofisini unapofanyia kazi, au Baki njia kuu! Ukiamua kuambatana na shee tan, ingia mazima mbinu atakupa tu!Na sie tusio na magari tuziache kwenye daladala au sio
Dukani kwa mangi hapafai. Ni karibu na nyumbani anaweza kutoboa siriKwa mangi dukani๐ au ofisini unapofanyia kazi, au Baki njia kuu! Ukiamua kuambatana na shee tan, ingia mazima mbinu atakupa tu!
Hata mimiNi uzembe wa kiwango cha lami kukaa na mameseji ya mapenzi mpaka ukakamatwa nayo. ๐ฎ Mimi nachati na huku nafuta yaani msg ikiingia nikishasoma nafuta ndio najibu.
Hii kitu inakuwa kawaida na tamu hadi pale utakapofumania au kufumaniwa.Naona unapambania dhambi ionekane ni kawaida. Kuweni waaminifu kwa faida yenu wenyewe na ndoa zenu. Ni kujiheshimu.
๐๐๐๐๐Kuna sms tamuu wewe hutamani kuifuta,unawaza ukaitoe copy ipigwe lamination.
Kupendwa raha sana