Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Kumbe tumetofautiana!Kuna sms tamuu wewe hutamani kuifuta,unawaza ukaitoe copy ipigwe lamination.
Kupendwa raha sana
Kumpenda mtu raha hata akiona unamsumbua ila kupendwa sometimes kuna kakero flani hvKumbe tumetofautiana!
Mi kupenda mtu nd'ohuwa naona raha sana, lakini kupendwa huwa naona kero?!
Hii ndio hoja ya msingi, mengine ni harakati za yule muovu kupitia nafsi zisizo na hatia😊😊💪Naona unapambania dhambi ionekane ni kawaida. Kuweni waaminifu kwa faida yenu wenyewe na ndoa zenu. Ni kujiheshimu.
Mkuu naombà usiingie hicho chama pls Kwan Nini mbaya?Dukani kwa mangi hapafai. Ni karibu na nyumbani anaweza kutoboa siri
Kweli kabisa mkuu, kwa sisi wanaume ni ukifumaniaHii kitu inakuwa kawaida na tamu hadi pale utakapofumania au kufumaniwa.
Hata ukifumaniwa. Maana kisasi kitakuhusu kwa kujua ama kwa kutojua.Kweli kabisa mkuu, kwa sisi wanaume ni ukifumania
Ngumu kumeza sana.Hata ukifumaniwa. Maana kisasi kitakuhusu kwa kujua ama kwa kutojua.
Kuna msemo husema "Jambo usilolijua ni Sawa na usiku WA Giza"....Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au umewasiliana na mtu mmeongea mliyoyaongea kwanini usifute hiyo namba. Unaskia wanandoa wanalalamika kila siku kufumaniana meseji kwénye simu za wenza wao meseji nyingine unakuta zipo kwenye simu kwa mda mrefu. Kwanini hizo meseji mkimaliza maongezi yenu msizifute mnaziacha huko kwenye simu za nini? Maana mambo mengine mnajitakia wenyewe
Chamani sitoki sivumi lakini nipo,ila hiyo njia ya kufichaficha simu mimi siwezi itumia. Pressure for what?Mkuu naombà usiingie hicho chama pls Kwan Nini mbaya?
Ishawahi kukuta???
Hapana...Ishawahi kukuta???