Message Ngumu!

Message Ngumu!

*HAKUNA MESSAGE NGUMU KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU KUJIBU KAMA "BABY NIKWAMBIE KITU"[emoji23][emoji23][emoji23]*
Hiyo massage maridhawa, jibu lake ni moja tu Samahani battery yangu inakwisha charge na umeme umekatika kwetu nitakutafuta baadae kidogo.
 
Kuna nguo nimeiona pale dukani kwa sinta..nimeipenda kweli baby..yaani hata wewe ukiniona nimevaa utanikubali..sasa nimepungukiwa tsh 50000 ili nikaichukue.naomba niongezee mi mwenyewe ninayo 5000
Kwani mimi ni mzazi wako....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
*HAKUNA MESSAGE NGUMU KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU KUJIBU KAMA "BABY NIKWAMBIE KITU"[emoji23][emoji23][emoji23]*
Hyo sio ngumu mkuu...
Kama mm namjibu like ifuatavyo:- " Usiniambie baby maana sasa nipo kwenye mishemishe za sikukuu, So wait sikukuu ipite then utaniambia... maana nitakuwa free"
 
Back
Top Bottom