Si ndio sababu ukaanza kuhojiKanidunde kwa lipi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ata Mimi nimesahau
Mngh!Woyooooooo
Suti avae na naniii mishuka aje avae na weyeee
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utakapoitiwa ngoma ndo utaelewa unachokitafuta
Wewe inakuhusu nn kila siku mambo hizi moneytalk ni ndugu yetu uzi wake ni uzi wetu mfyuuuuuJamani uzi wa watu kama tupo nyumban vile
Sichochei jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unachochea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesema uende Tarawee
DuuhAiseee
Ebu uko niacheEbanaeeeee!
Nikufwe na utamu wanguUkufwe na nn vile
Ulijuaje sina mahela mjukuu wangu?Sio kuleft babu ujana ule na nani uzee nije kukuchemshia maji ya moto niko na mume mm unataka niachwe ufurahi halafu mm wazee sipatani nao jamani mzee uwe na mahela basi sio mzee huna mahela
[emoji23] [emoji23]Akufwe na supu supu yake
hahahaha
Nipo naye hapa anadeka tu hadi anashindwa kushika simuSawa shemela shukrani,bibie kajficha wap lakin
Umeona eeenh tuanze kusumbuana na misuli nitoe nje nipunge upepo we babu ushindweeeWoyooooooo
Suti avae na naniii mishuka aje avae na weyeee
Utavunja miguu hyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nakuletea mpendwa wa dadaMchanganyiko
Koooh kooooohSio ni sokwe au??
Hebu uachage dharau basi
Halafu babu mwenyewe mti mkavu..... Dizaini ya mzee rukhsaSio kuleft babu ujana ule na nani uzee nije kukuchemshia maji ya moto niko na mume mm unataka niachwe ufurahi halafu mm wazee sipatani nao jamani mzee uwe na mahela basi sio mzee huna mahela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe inakuhusu nn kila siku mambo hizi moneytalk ni ndugu yetu uzi wake ni uzi wetu mfyuuuuu