[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Meli yenu itafika salama kwa uwezo wa M/Mungu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Braza Nakuaminia sana ujume murua
Kwa maneno yako haya sitarajii kulala usingizi kabisa, nataka niwe na wewe nikuangalie tabasamu lako zuri lililojaa upendo kwangu.
Na lile joto utamu nausikilizia hadi kwenye mifupa[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima tupeane mautamu bana,sasa hivi nimeshazoea kulala bila [emoji160]
usisahau kuni-tag tafadhari...ntakuandikia bae
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikwambia wewe ili iweje sasa
Ahsante sana mkuuSijui zamu yang lini kupongezwa!!!
Anyway,ukiona hivyo ujue kuna la ziada amefanya hadi kufikia kumwagiwa sifa. Hongera Mwifwa
kama kawaida yako,Wooooooooooozeeeeeeer mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ndugu yangu umeamua kujibu
Ahsante sana mkuusijawahi kupenda na wala sijui mapenzi na siwezi kumuenzi love cause
I'm a playboy
usije ukanipenda nitakuumiza nitakutenda sipendeki nitakupa taabu cause
I'm a playboy....Hongereni kwa show love,sisi wengine mioyo yetu huwa inasukuma damu tu.
Babe mengine tusiyaseme huku..nampaga sana tu,muulize atakuambia
Hata wake za waganga mnajua Yesu ? Kweli kila goti lita pigwa.Bwana yesu asifiwe ameeeen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio ile imeshafunikwa [emoji23][emoji23]