Muzima ww lkn!Sawa anko eeh
Bila shaka utakapoona matunda yake basi ndio utaamini.Hivi haya ni kweli au?
[emoji23] [emoji23] kila La heriBila shaka utakapoona matunda yake basi ndio utaamini.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji23] [emoji23] kila La heri
Naona toto limejaa lenyewe[emoji13] kila la kheri kwenuHahahahaaa
Sawa mkuu
Shukrani sana mkuu kwa dua yako na ushauri wakoBig up bro mwifwa.
Na we mpende shemeji km anavyokupenda.kukupenda kwake usione ni udhaifu wake ikawa fimbo ya kumtesea hisia zake.nawaombea mfike mbali zaidi yaani next level
Si vyema kufa na tai shingoni mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona toto limejaa lenyewe[emoji13] kila la kheri kwenu
Muda ni huu, tafuneni buana[emoji2]Si vyema kufa na tai shingoni mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa ni taratibu kabisa wala hamna paparaMuda ni huu, tafuneni buana[emoji2]
Brethren continue ye doeth the business and all things will be added unto you.Ujumbe kama huu natamani nami ningeandikiwa daah basi tena[emoji20] [emoji144]
Hongera kamanda mwifwa
Unamfahamu nje ya jf ?Sijui mke wa anaeandikiwa akiuona ujumbe huu atajisikiaje....ndoa huvunjika hivi hivi iwapo dume ilikipewa ujumbe kama huu kutoka kwa mchepuko
Ngoja tusubiri jibu mkuuUnamfahamu nje ya jf ?
HayupoYule Wa makapuku
Wow....
I know my mshipa[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji119][emoji119][emoji119]Kwenye bahati zao za kupiga pumbu wanajilia kiulaini tu
Bado naisubiri icebrightThe ship is continuing to sail
Hongereni