Zitakuwa uvunguni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nguo za kina Naveen ziko wapi?
WoyoooooooooooooHahaha
It's fire now let party begin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini tena
Niko hapa kukulana ndio mpango mzimaDada wa kulana...
Mama D mwenyewe...
Sawa my one n only Eli79, mie nimemwachia MunguHivi unadhani naweza kwenda kwingine niache hicho kisura ? You're my one n only sakayo.
Salama kabisa sijui za weweMarahaba mkuu..
Habari za nyanda za pwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah naona ndivyo sivyo,tu ila mwenzio naona mwenzio katia timu
NdiwoooMmm!
Si bora uvunguni...ukutea zimelowa nje kwenye kamba huko...wakati nataka nitoke na watoto.Zitakuwa uvunguni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shem nani anakuficha jamaniMofaya na diamond karanga ndani ya nyumba.
Woooooyoooooooooo nakaziaYan ndoa yet itakua kabambe kuliko zotee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zitakuwa uvunguni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemeji kicheko hicho [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yakoShem nani anakuficha jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si bora uvunguni...ukutea zimelowa nje kwenye kamba huko...wakati nataka nitoke na watoto.
jamani jamani jamani kaka [HASHTAG]#mwifwa[/HASHTAG]Natamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo
Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona nimekupenda Mwifwa wangu!
Kama nimepata raha maishani mwangu ni kitu kimoja ningetaka kukibadilisha, ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani. Mara zote unajua kunifanya nitabasamu hubby wangu hata wakati nimehuzunika.
Hakuna mwanaume duniani anayeweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe kipenzi changu, changuo langu mimi na mwanaume pekee wa maisha yangu, nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoongea nawe,najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako. Nafurahia mapenzi yako zaidi kuliko mtu yoyote humu duniani, siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe yatakuwaje, marafiki zangu wananionea gere kuwa na mwanaume kama wewe unayejua nini thamani ya mwanamke!
Sifahamu umeniwekaje moyoni mwako lakini ninafurahi umenifanya hivyo na matendo yangu pekee yanaweza kuonyesha nijinsi gani ninavyokupenda hubby wangu Mwifwa !Nitakupenda leo na hata kesho Ahera
Yaani wewee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha atie timu tuuAah naona ndivyo sivyo,tu ila mwenzio naona mwenzio katia timu