HahahaNmefika leo na mm cjui kuna nn kwan[emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukisikia njo pm ujue kuna mgazeti wako wa matusi mods walifunga ule uzi na kufuta comments[emoji23] [emoji23] jf ina vituko looh!
Vikianza utacheka ufe jamani!!!!hahaaaa
Kwa hyo matusi PM[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
LipiPigo hilo tayari...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] occupied with full package!!!!Kumbe Raynavero ni ticha, nasikia maticha watamu na ni mama bora sana, tatizo mkikosana unaanzishiwa kikao huko staff room. Rayna kuja huku, halafu nimesahau jina lako la zamani[emoji13]
Eli79Hakyanani, dah!!
AkwendeBora umemuona yake yanamshinda huko na kukimbiwa
Henu turudi home makapuku [emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafuvmmeteka uzi wa watu
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafuvmmeteka uzi wa watu
HahahaaaaNalifahamu hilo kuagiziwa Heineken bila kupewa mahela ya kulipa ni jau
SawaMe simo Sakayo[emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ama nilisikia vibaya!!Nikuagee ?
Are sure with this?
Kaa mkao wa sungura..![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Me nmefanyaje shemela
Rayna tuachane na hayo, nataka tupate wasaa wa wawili niseme yangu ya moyoni. Dunia fupi na maisha yake ujuwe, hem ridhia kwanza twende mbele[emoji13][emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] occupied with full package!!!!
Na tunawaenjoi maofisini humo balaa
Janaume likija pale twalichora tu!tunamjua kuanzia unyayo mpk boksa aliyonunuliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ningemuambia hapahapa kwa uwazi!!na watu walipewa ban!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukisikia njo pm ujue kuna mgazeti wako wa matusi mods walifunga ule uzi na kufuta comments
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tabia ya kugonganisha magari cio nzuriEli79
Mecheka sanaUzi wetu huu uzi wa ndugu yetu
Hivi vitu huwa tunaongea wakati nakuogesha mama..Unataka kusema toka tumejuana ndo biashara umeanza juzi.. Kusema tuu mama Naa naondoka ulishindwa?!
Mara ya kwanza nilivumilia ukarudi as if nothing happened, lakini hukulala hata kwa nyumba ukaondoka tena?! Nini kinaendelea lakini
Me cpajui wapatikana wapiHahaha
Ngoja nileft tuu...
Mwenye kunihitaji anajua pa kunipata
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kaa mkao wa sungura..!
Sooon humu waleft watu..
Ngoja niagize Gin kwanza..