YaaniMdogo wako cio mtu mzuri kwa kweli
Leo hafikishi tatu na nusu..!Tunatokaga saa tano hapa
HahahaMoneytalk ni ndugu yetu kwahiyo huu uzi ni wetu sote
Unatoka saa ngapi humu?Hahaha
Hahaha[emoji23] [emoji23] tayari nishasemewa ya moyoni!hapa naona kama wapigia mbuzi gitaa!
Tubaki hapahapa kaka ely79 Mimi na wewe,ungenijua my former I'd [emoji23] [emoji23]
Yaani huwa nampenda mimiHahahaa! Kawaida ya mama D
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan atakufwa huku anajionaMungu anamuona ujue kaka Ely!![emoji23] [emoji23]
Naona unakazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sakayo nae alishakula ban na bonny mmu
Nakupenda jamaniYaani
Ila nampenda tuu aki
Shunie wewe jamani... Wacha nikupende tuuHii sio mida yake jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hajui tuu anarudia mkanda
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Yaani huwa nampenda mimi
Sasa nimefanyaje jamaniMwenyewe vipiii unachomfanyia ni sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moneytalk ni ndugu yetu kwahiyo huu uzi ni wetu sote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unakazia
Kwahiyo huoni ulichofanyaSasa nimefanyaje jamani
Hahaha@transcend ale vyake mama, kula sahani moja ni ukosefu wa nidhamu.
Ndio hivyo uzi ni wetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmebadilisha maudhui buana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toka lini ukaondoka sasa hivi si saa tano ndio tunatokaShunie wewe jamani... Wacha nikupende tuu