[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niende wapi, kwa hiyo umeamua kuwa team moja na rayna?
Home wapi, niko nyumbani mimi... We huko uliko bado unadanganya uko homeTunaenda home ama hatuendi..?
MmmhKhaaaani! Muulize Daby
Kwa kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] acha tuwe wapenzi watazamaji leo
Daaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi ndonimefanya hadi finishing kabisa sitaki maswali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmejifunza mm jamaniole wako ucheke utaona nitakavyokuumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wa kulinda shamba langu eeh?
Lile halimi mtu...! Ukilima hukawii kuambiwa una kansa ya korodani
Unaumia nini tena money?me naumia ujue