Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Twende kazi leo tujue kama text huwaga zinafananaga angalau kwa watu kadhaa ama kuna watu wanatumiwaga text za kipekee, kila mtu angalau aseme text yake ya mwisho kuingia kwenye simu inasemaje iwe kwenye message za kawaida au Whatsap ili mradi iwe ya mwisho tu
Mimi yangu inasema " i miss you "
 
Nitachukua crane asubuhi wewe hakikisha mzigo umeshushwa wote na upo salama.

Tunatofautiana. Wewe unabebika Mimi napiga mzigo.

Angalizo, hiyo message ijibu Kama una balance ya kutuma muamala wa sikukuu. Azawise haifiki January utaachwa 😁😁😁
 
Lipia tiketi ya Tamasha la SERENGETI MUSIC kwa Tigo Pesa ukiwa na kadi ya N- Card, Piga*150*01# chagua 4 Lipa Bili kisha 6 malipo mtandao na fuata maelekezo
 
Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh xxxx. Umepokea TSh xxxxx kutoka Vodacom; 255744xxxxxx- JOHN xxxx, kumbukumbu ya malipo.: 337896232xx. 7LO54JJLAxx. 24/12/20 01:42
Mkuu pochi lishajaa mapema
 
🀣 umeamkaje laaziz wangu wa moyo.. huko ni wasapu..🀣

Meseji za kawaida "kenzy" πŸ€£πŸ˜…
 
Kutoka kwa mwenye nyumba.

D...... kwakua kodi yako inaisha tarehe 4 mwezi ujao nitangulizie elfu 30 ijumaa asubuhi.
Tanguliza ndugu alasivyo..πŸ˜…
 
Message ya mwisho ni Ile hela tuma kwenye namba hii ile line ya mwanzo imeharibika.
 
Nimepungukiwa hela ya kununua nguo ya sikukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…