Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

"Namsindikiza Joy anaenda kufanya teeth whitening,wakati wa kurudi nitapassby hapo..Bye my fh"

Hiyo ndo text ya mwisho kuingia kwenye simu yangu
 
"We fala achana na mke wangu **** wewe...."

Hapa nilipo nawaza kuhama mji[emoji3]
 
Hahaaaa wacha weeeee! Ntarudi tu apo soon
 
Freemasoni mna nini nami..🤣🤣
Kenge kabisa..

"TIMIZA NDOTO ZAKO JIUNGE NACHAMA CHA FREE MASONI 666 MILIKI MAGALI, NYUMBA, PESA, UMAALUFU, NA MAMENGINE MENGI ILIKUJIUNGA PIGA 0713912508 ASANTE"

Hawa freemasoni hawajui hata kiswahili fasaha hizo gari na nyumba zipo kweli au mimi ndo freemasoni wao ndo wateja..😅
 
Si uanze kunitumia hela ya matunzo basii
 
Yaani Baby huwezi amini kitu....saa saba hii bado sijajuwa kesho siku kuu nitakula nini na wanangu. Hivi unaweza nirushia hata milioni 2 ili pia nisaidie na wazazi huko Moshi? Sijajibu mpaka sasa na sidhani kama nitamjibu labda mpaka mwakani nikijisikia.
 
KENZY hii si namba ya simu ya Diamond hii, yaani siku hizi hawa jamaa wa Free Mason wanagawa bure namba ya balozi wao?
 
tulio single haituhusu hii nyz
 
Ndugu mteja,umepokea Tshs 5000.00 kutoka kwa 255331166226, asante kuchagua huduma ya TTCL. Kujiunga na vifurushi piga *148*30#.
 
Dear customer, the shipping information including the tracking number can be found in the attached shipping label. Delivery may be arranged by visiting your local post office. Marry Christmas and Enjoy safely, your festive season.
 
Ndugu mteja bado siku 2
namba yako ITAFUNGWA
kamilisha usajili kwa alama
za vidole tembelea maduka
yetu au wakala ukiwa na
namba ya NIDA

Wakitaka wafunge sisajili jama
Habari, ulishapokea namba yako ya NIDA. Tafadhali fika Vodashop au kwa wakala wa usajili ukiwa na namba yako ya NIDA ili usajili namba yako na kuepuka usumbufu wa kufungiwa namba yako hivi karibuni.

Kwangu mpk wanaimagne nina namba ya nida kumbe sina.. vitisho hivyo😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…