brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,386 Jul 4, 2016 #1 Mchezaji bora duniani leo messi yupo Bahamas kwa mapumziko lakini amezua gumzo mtandaoni baada ya kuvaa t shirt inaelezea hisia zake kuhusu penati mchezoni
Mchezaji bora duniani leo messi yupo Bahamas kwa mapumziko lakini amezua gumzo mtandaoni baada ya kuvaa t shirt inaelezea hisia zake kuhusu penati mchezoni
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,416 Reaction score 12,618 Jul 4, 2016 #3 Kwani walitoka ngapi ngapi kabla ya kufikia kwenye penati! Kama vipi angefunga mapema kuzuia kwenda kwenye hizo penati.
Kwani walitoka ngapi ngapi kabla ya kufikia kwenye penati! Kama vipi angefunga mapema kuzuia kwenda kwenye hizo penati.
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Jul 6, 2016 #4 Chalii anatia huruma
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,923 Jul 7, 2016 #5 Hahahaha Akomeeee Mwenzake Cr7 ana piga vuzuri tuu na hata akikosa halalamiki