Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mwaka 2023 umeanza vizuri kwa Messi akizoa tuzo 3 za IFFHS, huu ni mwanzo tu tuzo nyingine zinakuja nyingi kwa GOAT [emoji238].
Tuzo alizoshinda ni pamoja na best player, playmaker na mfungaji bora.
IFFHS "Best Player of 2022" award rankings :
[emoji1628] Messi: 275 points
[emoji1627] Mbappe: 35 points
[emoji1626] Benzema: 30 points
[emoji2392] Modrić: 15 points
[emoji2393] Haaland: 5 points
IFFHS 2022 Men's World Best Playmaker Award
[emoji1628]Leo Messi - 170 points
[emoji1627]Luka Modric - 115 points
[emoji1626]Kevin De Bruyne - 40 points
Messi kwa sasa anaongoza kuchukua tuzo za best playmaker akiwa na 5 huku Xavi akiwa na 4, Iniesta/KDB 2.
2023.View attachment 2472259
Pele kwa kuwa ulikuwa mweusi, ungekuwa mweupe tungekuabudu.Tumetafuta japo wa kukupoteza tumeambulia mmoja japo mbilikimo.
Mbaya
Tangu niwe mfuatiliaji wa mpira mpaka leo hii tarehe 8 January 2023 bado sijaona wachezaji wa kuwakaribia "MESSI AND DIEGO ARMANDO MARADONA,
And it will take time to find players kama hawa...
Juzi Kati Pique alipost video ya dk 4 kuonesha Pass za Messi alizokua anapiga kwa wachezaji wenzake agu wanakosa dah hiki kiumbe no Genius sikutamani iishe [emoji119]
Kabisa mkuuMessi anavyocheza unafurahi ana mpira flan wa kipekee
Hawa ndo GOATS
Hapo Kwa haalard nimefurahi sanaMwaka 2023 umeanza vizuri kwa Messi akizoa tuzo 3 za IFFHS, huu ni mwanzo tu tuzo nyingine zinakuja nyingi kwa GOAT [emoji238].
Tuzo alizoshinda ni pamoja na best player, playmaker na mfungaji bora.
IFFHS "Best Player of 2022" award rankings :
[emoji1628] Messi: 275 points
[emoji1627] Mbappe: 35 points
[emoji1626] Benzema: 30 points
[emoji2392] Modrić: 15 points
[emoji2393] Haaland: 5 points
IFFHS 2022 Men's World Best Playmaker Award
[emoji1628]Leo Messi - 170 points
[emoji1627]Luka Modric - 115 points
[emoji1626]Kevin De Bruyne - 40 points
Messi kwa sasa anaongoza kuchukua tuzo za best playmaker akiwa na 5 huku Xavi akiwa na 4, Iniesta/KDB 2.
2023.View attachment 2472259
Sema messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Nina mengi ya kuwasimulia wajukuu wanguu about MessiTangu niwe mfuatiliaji wa mpira mpaka leo hii tarehe 8 January 2023 bado sijaona wachezaji wa kuwakaribia "MESSI AND DIEGO ARMANDO MARADONA,
And it will take time to find players kama hawa...
MESI NI MBILIKIMO ALIYEBORESHWA.Ungemuabudu wewe tu mkuu... Messi pia sio mbilikimo. Muombe msamaha aise
Messi
Diego Armando
MESI NI MBILIKIMO ALIYEBORESHWA.
Sema messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Nina mengi ya kuwasimulia wajukuu wanguu about Messi