NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Yes, perfect timing for Messi kuchukua Kombe la Dunia, hili kombe lina uzito kuliko UEFA Champions na ndio maana ni mara moja tu kila baada ya miaka minne, hakika Messi anaenda kuizoa Ballon d'Or.
Kwa hakika messi anaenda kujiweka level sawa na za kina Pele kule juu kabisa.
Huku chini wapo wachezaji wengine katika levels tofauti, ila huko juu kwa Pele na Messi kuna miungu ya mpira!
Kwa hakika messi anaenda kujiweka level sawa na za kina Pele kule juu kabisa.
Huku chini wapo wachezaji wengine katika levels tofauti, ila huko juu kwa Pele na Messi kuna miungu ya mpira!