Messi anaweza Kufungwa Jela Miezi 22

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
55,727
Reaction score
123,094
Lionel Messi anaweza kuhukumiwa jela miezi 22 kwa kosa la kukwepa kodi ya pound milioni tatu na nusu.....
Chanzo; SkySport
 
sheria msumeno,wazungu hawana mchezo na kodi...
 
Lakini kwanini Messi akwepe kodi wakati analipwa mapesa mengi tu
 
Hyo mbona issue ya zamani ndio unaileta leo
 
Hyo mbona issue ya zamani ndio unaileta leo

ukisoma hio link utaona kwanini nimeileta leo. messi alikubali kulipa hizo hela na faini, baba yake akiwa ndio mtuhumiwa yeye messi akiwa hana knowledge na kilicchotokea lakini prosecutor ameshauri mahakama bna messi ajumuishwe kwenye kesi

Prosecutors had argued that the Argentina superstar had no case to answer after he and his father were accused of defrauding the Spanish authorities of nearly £3.5m between 2007 and 2009.
The prosecutors said they believed the Barca forward had no knowledge of the fraud which they alleged was carried out by his father Jorge.


The state attorney stated that Messi should stand trial

But the judge has now accepted the advice of the state attorney, who states that Messi should also stand trial on three counts of tax evasion.
The maximum sentence for the offences is 22.5 months.
Messi and his father paid the Spanish authorities a 'corrective payment' of £3.7m after they were formally charged in June 2013.
[h=2][/h]
 
Lakini kwanini Messi akwepe kodi wakati analipwa mapesa mengi tu

pesa haitoshi, kodi kubwa ulaya inatia uchungu....imagine pound milioni tatu na nusu unawapa tra....
 
Mahakama ilishamwacha huru baada ya kuona kuwa hana kesi ya kujibu...baba yake ndo anayo kesi ya kujibu
 
Agende tu, hana madhara kwangu wala kwa soka letu. Ana madhara kwa mashabiki maandazi wanaoshabikia kampuni za watu huko Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…