Messi and Yamal will meet again in the 2026 World Cup final

Ronaldo 41
Mess ana 38

Kwa kigezo cha umri Ronaldo ni bora kuliko mess
Siku hizi mmehamia kwenye umri? Kwanza kabisa Messi ana miaka 39

Ok well alipokuwa na miaka 38 Ronaldo alifanya nini cha maana kwenye klabu yake na timu yake taifa?

Lete takwimu za Messi wa miaka 38/39 na za Ronaldo akiwa na miaka 38/39 tuone kila mmoja mchango wake kwenye klabu na timu ya taifa

Tufunge huu mjadala
 
Ronaldo 41
Mess ana 38

Kwa kigezo cha umri Ronaldo ni bora kuliko mess
Messi (miaka 38โ€“39): Amekuwa na mchango mpana zaidi katika magoli, pasi za magoli, kutengeneza nafasi na kuiongoza timu

Ronaldo (miaka 38โ€“39): Alikuwa kuwa mfungaji tu, lakini mchango wake wa jumla katika uchezaji ulikuwa mdogo ukilinganishwa na Messi
 
Ndio tatizo la kuwa kwenye hii mijadala na watoto mlioanza kutazama mpira 2023
Shida ya kutumia majina bandia ndio haya mimi sio nimeishia kutazama bali nimecheza mpira ligi daraja la tatu boya wewe
 
Kaziiendeleeee
 

Attachments

  • Screenshot_20260717-194335_Lite.jpg
    165.6 KB · Views: 14
Bro kaangalie kile kikosi cha Barca ambacho messi alikuwa na miaka 17-18 na hiki ambacho yamal anacheza

Ndiyo utajua kwanini Messi hakuwa mchezaji tegemeo kwa umri huo na yamal amekuwa mchezaj tegemeo
 
Ukilinganisha umri ambayo mess yuko kwenye game na yamal kuwa mpinzani wa mess ni wazi Yamal ni bora kuliko mess
Consistency matters the most, haiwezekani mtu aliyebaki kwenye ubora ule ule kwa miaka 20 akachukua ballon dior 8 mbele ya strong rival CR7 eti afananishwe na kijana ambaye leo ndio kwanza anatimiza miaka 19, ulishwah kusikia messi akishindanishwa na maradona kipindi kile akiwa na miaka 19?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ