ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa misimu mitatu mfululizo RONALDO anaingiza kwa kupachika magoli la liga na msimu huu utakuwa wa 4.
Hebu tuache ushabiki wa kijinga tuongee ukweli na tuangalie takwimu sio unaongea tu. CR7 juzi tu kapiga bao 5 mechi moja au umesahau?
Kama unapenda mabishano sawa lakini rekodi ya ufungaji mabao ya ronaldo ipo juu.
Miez miwili sio mchezo mzee.....na bado akrud lazma awe muoga. Mess Kuongoza kwa magol ni ndoto.
Mchawi wa soka atakua nje kwa 2 months kwa maumivu,lkn huenda ikatokea kama msimu ulopita alivyorejea mwezi november 2014 toka majeruhi ya muda akakuta cr7 ana magoli 20 zaidi yake lakini hadi kufikia february akawa keshamkuta na kumfunika!!Get well soon Magical Messi Fbc tutakumiss mno!
Na King Messi ndiye anayeongoza kwa assist la ligaKweli alifunga5 nilisikia lakini goli zake hazina utashi,tofauti na messi hata akifunga goli3 zinakua na uzito wa kipekee cause jinsi messi anavyotafuta goli ni tafauti na ronaldo anavyovizia na kusubiri tu ndio maana ht hizo5 pekee yake alizofunga hazina mashiko!laiti mesii nae angesema acheze kichoyo na kuviziavizia angekua na goli nyingi sana lkn mara nyingi yeye ndie mpikaji wa goals nyingi za Suarez na Neymar Jr
Hilo halina ubishi na ikfka February tyar atakuwa na ballon dor 5 MAANA MWAKA JANA PENADO ALICHUKUA TUZO SABABU MESSI ALIPATA MAJERUHI MIEZ KAMA HII SASA MWAKA HUU ASAHAU HILO
Kweli alifunga5 nilisikia lakini goli zake hazina utashi,tofauti na messi hata akifunga goli3 zinakua na uzito wa kipekee cause jinsi messi anavyotafuta goli ni tafauti na ronaldo anavyovizia na kusubiri tu ndio maana ht hizo5 pekee yake alizofunga hazina mashiko!laiti mesii nae angesema acheze kichoyo na kuviziavizia angekua na goli nyingi sana lkn mara nyingi yeye ndie mpikaji wa goals nyingi za Suarez na Neymar Jr
Na King Messi ndiye anayeongoza kwa assist la liga
Kujizalilisha ki vipi? Na leo 28th mazoezini ma doctors wake wamemwambia yaweza kua wiki 7 tu badala ya 8 hivyo kuna uwezekano mkubwa genius wa soccer akawemo el classical game!
Acheni ushabiki maandazi mnajidhalilisha.
mechi moja kaweka 5 mechi 4 hata mojaKwa misimu mitatu mfululizo RONALDO anaingiza kwa kupachika magoli la liga na msimu huu utakuwa wa 4.
Hebu tuache ushabiki wa kijinga tuongee ukweli na tuangalie takwimu sio unaongea tu. CR7 juzi tu kapiga bao 5 mechi moja au umesahau?
Kama unapenda mabishano sawa lakini rekodi ya ufungaji mabao ya ronaldo ipo juu.
mechi moja kaweka 5 mechi 4 hata moja
Messi hapimik yule kiumbe kwanza siku hz guu lake la kushoto halitak penat linataka magoli ya mikikimikiki sasa Penado atakutwa na atapitwa
Kweli wwe mtto una akili
King Messi
Mkuu PNC1 wasiempenda kaja