Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Kama sio ya maana mbona kila mchezaji hafanyi hivyo?Rekodi nyingine hata hazina maana
Mashabiki wa Ronaldo hao mkuu,Kama sio ya maana mbona kila mchezaji hafanyi hivyo?
Huu ni ujuaji uliochanganyikana na wivu sasa. RekodiRekodi nyingine hata hazina maana
Punguza hasira mkuu!...hv ronaldo jana kafunga?Rekodi nyingine hata hazina maana
Kama unaulizia kuhusu kufunga kamba za viatu,jibu ni alifunga ila kama unaulizia Magoli,jibu ni hakufunga,Punguza hasira mkuu!...hv ronaldo jana kafunga?
Kama ile ya kufunga mashindano 6 ya World Cup.Rekodi nyingine hata hazina maana
Hakika π₯Messi ni the greatest scorer of all time
Na badoπ€£Sasaiv rekodi zinatolewa kibindoni ambako zilikuwa zmefichwa
Amecheza dakika 90 na ameambulia patupu mwenzie dakika 30 zimemtosha kuweka kambani.Punguza hasira mkuu!...hv ronaldo jana kafunga?
shabiki ya Ronaldo Nyathikia tyuungu sanya.....Rekodi nyingine hata hazina maana
Umeeleweka kabisa.Kama unaulizia kuhusu kufunga kamba za viatu,jibu ni alifunga ila kama unaulizia Magoli,jibu ni hakufunga,
Nadhani nimeeleweka bila wasiwasi wowote.
Pia naamini atakuwa alifunga mlango wa toilet baada kumaliza shughuli yake.Kama unaulizia kuhusu kufunga kamba za viatu,jibu ni alifunga ila kama unaulizia Magoli,jibu ni hakufunga,
Nadhani nimeeleweka bila wasiwasi wowote.
Sasa mkuu post yako inamuhusu Messi ,lakini cha kushangaza Ronaldo lazima umtaje,inaonekana ni jinsi gani Uyo Ronaldo anakupa pressure kila siku uamkapo..Punguza hasira mkuu!...hv ronaldo jana kafunga?
Hakika migo jamaa atakuwa amefunga vingi sana mpaka mdomo wake ila sio goli.Pia naamini atakuwa alifunga mlango wa toilet baada kumaliza shughuli yake.
Yaani huwezi kuniambia aliacha mlango wa toi wazi.