Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

πŸ”₯πŸ”₯
 
Mbappe ataweza kuzivunja hizi records sababu WC imekuwa na games nyingi tofauti na miaka ya nyuma.

Messi kwangu atabaki kuwa mchezaji wa bora wa dunia miaka yote.
Imeongezeka mechi 1 tu ya round of 32, michuano iliyopita ilikuwa ukitoka group stage unaingia round of 16
 
Mbappe ataweza kuzivunja hizi records sababu WC imekuwa na games nyingi tofauti na miaka ya nyuma.

Messi kwangu atabaki kuwa mchezaji wa bora wa dunia miaka yote.
Kuhusu Mbappe sina shaka na hilo lakini kuhusu yule kizee cha Ureno mmmh
 
Team Ronaldo njooni muone rekodi juu ya rekodi zikimuendea MessiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…