Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Yaani hata aamue kustaafu sasa hivi hana deni na football.Kwenye game ya mpira hatuna deni nae kabisa
Hata asipochukua kombe la dunia safari hii ni sawa tuKwenye game ya mpira hatuna deni nae kabisa
Sema dogo Mbappe sababu umri unaruhusu anaweza kuwa mfungaji bora wa muda wote wa WCTunasubiri rekodi zaidi kutoka kwake
Umesemaje?Hivi mna uhakika kuwa hili ndilo kombe lake la dunia kushiriki?
Au mnaongea tu kiushabiki?
Au mnatafuta kiki?
Ok, Niko hapa masaki.
Statement ya juu mbona kama ina mapungufu mkuu? SijaielewaHivi mna uhakika kuwa hili ndilo kombe lake la dunia kushiriki?
Au mnaongea tu kiushabiki?
Au mnatafuta kiki?
Ok, Niko hapa masaki.
Hilo halipingwiSema dogo Mbappe sababu umri unaruhusu anaweza kuwa mfungaji bora wa muda wote wa WC
Dogo anatupia vibayaHilo halipingwi
Sana na pia ana watuDogo anatupia vibaya
Fans wa PENaldo wamevurugika vichwaUmesemaje?
Ana goli ngapi vile hadi sasa za WC zote kabisaSana na pia ana watu
Hapana huyu ni fan wa Messi maana nakumbuka amemuanzishia hadi uzi sasa sielewi hapa amemaanisha niniFans wa PENaldo wamevurugika vichwa
16Ana goli ngapi vile hadi sasa za WC zote kabisa
Nawauliza kuwa hili ndo kombe lake la mwisho la Dunia kushiriki?Umesemaje?