Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Dah mkuu mimi hata sikuelewi kwa kweli🤣Nawauliza kuwa hili ndo kombe lake la mwisho la Dunia kushiriki?
Maana naona jamaa hashikiki,
Wala pia hagusiki,
Ronaldo ana dhiki,
Ana maneno lukiki,
Kama Chris Mauki.
Nimeshai-edit mkuu 😂. Niliku nimekose ku type.Statement ya juu mbona kama ina mapungufu mkuu? Sijaielewa
Ronaldo ana 8 amezidiwa hata na Kane mwenye 10Duh, huyu avunjwe haraka iwezekanavyo.
PENaldo je
Mbape Jana kashinda ngapi ??Yaani hata aamue kustaafu sasa hivi hana deni na football.
2Mbape Jana kashinda ngapi ??
3. Kaweka zake 2 kiroho safiiiMbape Jana kashinda ngapi ??
Yeah ni vyema awepo sianakuwa na miaka 42 tuaendelee kuweka zake na mashindano yajayo yumo kazi wanayo
Sawa sawa3. Kaweka zake 2 kiroho safiii
Ninachomaanisha ni kuwa Messi anaweza kushiriki tena kbe la dunia lijalo tofauti na watu wanavyomtabiria.Dah mkuu mimi hata sikuelewi kwa kweli🤣
Fans wake wanamfosia kiki,Nawauliza kuwa hili ndo kombe lake la mwisho la Dunia kushiriki?
Maana naona jamaa hashikiki,
Wala pia hagusiki,
Ronaldo ana dhiki,
Ana maneno lukiki,
Kama Chris Mauki.
Jamaa ni wa moto, anapachika utadhani anatafuta sifaSawa sawa
Sina hakika mkuu, ingawa nahisi huyu jamaa ni alien. Game 2 goli 5Ninachomaanisha ni kuwa Messi anaweza kushiriki tena kbe la dunia lijalo tofauti na watu wanavyomtabiria.
Ndiyo maana nimewauliza kuwa mna uhaki hili ndo kombe lake la mwisho kushiriki?
Hilo halijulikaniNinachomaanisha ni kuwa Messi anaweza kushiriki tena kbe la dunia lijalo tofauti na watu wanavyomtabiria.
Ndiyo maana nimewauliza kuwa mna uhaki hili ndo kombe lake la mwisho kushiriki?
Usikute Ronaldo na yeye akawepo akiwa na 45Yeah ni vyema awepo sianakuwa na miaka 42 tu
Mbona cr7 ana miaka 41 na Bado anacheza , so awepo tu
Tusubiri tuone mkuuSina hakika mkuu, ingawa nahisi huyu jamaa ni alien. Game 2 goli 5
Kama saa hz tu akiwepo ni kama Portugal wamejikabaUsikute Ronaldo na yeye akawepo akiwa na 45
King'ang'a hicho, 😂Usikute Ronaldo na yeye akawepo akiwa na 45
Tuombe uhai tu!Hilo halijulikani
Yote kwa yote, jamaa mie simdai. Inatakiwa game ya mwisho ya makundi aweke hata goli nne. Ili dogo Mbappe kama anafukuzia Bus, basi atakuwa anaona tako tu linaishiaTuombe uhai tu!
Sasa amepaniki,Fans wake wanamfosia kiki,
Uwanjani penalt hazipatikaniki,
Sio penalty tu hata free kiki,
Wahuni tushaanza kumdhihaki,