Moose Bull
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 516
- 1,259
Jamaa kakutana na timu feki,Tangu asubuhi tulimletea chuki,
Kaingia ya leo anajifanya hacheki,
Sasa hata bia huku kiwanja hazinyweki,
Kaamua kutuzima kama simu fake,
Kijana atakuwa amepiga whiskey,Saa hz unajifanya humtaki,
Wakati kwenye jamvi lako umestake,
Unakuw unaeleweka mara ueleweki,
Zinazoongea hapa ni bange ama whiskey?
Moose Bull
Nanjilinji 😎Labda migodini
NdiyoKumbe umeandika Nanjilinji🤣
Nanjilinji kuna sehemu inaitwa migo?Ndiyo
Hapana, mimi ni msanii wa huku ndani ndani Nanjilinji. I go by the name MigoNanjilinji kuna sehemu inaitwa migo?
Au migos🤣🤣Hapana, mimi ni msanii wa huku ndani ndani Nanjilinji. I go by the name Migo
Asante kwa kunirekebisha. Unajua huku ndani ndani hatujui haya majina yanatamkwaje au yanaandikwaje japo tunjiita naoyo tu.Au migos🤣🤣
Sasa Migos si wale wa Marekani?Asante kwa kunirekebisha. Unajua huku ndani ndani hatujui haya majina yanatamkwaje au yanaandikwaje japo tunjiita naoyo tu.
Now you can call me Migos 😎.
Najua basi?Sasa Migos si wale wa Marekani?
Toka Nanjilinji sogea hata hapo Nangurukuru kidogoNajua basi?
Ni kweliaana nasikia kule Nangurukuru at least watu wanajuajua wasanii. Hata drake nasikia wanamjua.Toka Nanjilinji sogea hata hapo Nangurukuru kidogo
Hapo Nangurukuru wanamjua hadi Taylor Swift achana na watu wa Nanjilinji wao wanamjua Samba Mapangala na Kanda Bongo Man tuNi kweliaana nasikia kule Nangurukuru at least watu wanajuajua wasanii. Hata drake nasikia wanamjua.
Mimi au wewe?Migo wa nanjilinji 😀
Ingekuwa skuli ningemtandika stiki,Kijana atakuwa amepiga whiskey,
Namshauri asiendeshe pikipiki,
Zipite kwanza siku mbili au wiki,
Maana haelewi kile Wala hiki.
Akikutana na miamba ambao imejikoki,Jamaa kakutana na timu feki,
Ambayo ingefungwa hata na Betra Mombeki,
Ngoja akutane na timu inayoshambulia kama nyuki,
Atakuwa kichekesho uwanjani kama Sajuki.
Pamoja na akina muhidun maalim gurumo, tx mushi nk 😂Hapo Nangurukuru wanamjua hadi Taylor Swift achana na watu wa Nanjilinji wao wanamjua Samba Mapangala na Kanda Bongo Man tu
MimiMimi au wewe?
Mi ningemlisha sifongo na siki,Ingekuwa skuli ningemtandika stiki,
Kuna kila dalili huyu dogo sio rizki,
Kwenye mambo ya ovyo ndo anapo-take risk,
Kama computer hi imekosa hard disk,
Jamaa kakabwa na beki hadi kamwuliza refa "hii ni haki?",Akikutana na miamba ambao imejikoki,
Ataona bora hela yake angempa Stoke,
Kitaani kila siku anatembelea choki,
Halaf anafosi wana wamuite msodoki,