Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Shida ya dogo ni kuwa na ubishi ka wa Nikki,Mi ningemlisha sifongo na siki,
Awe anahisi tu uchachu na siyo ashiki,
Mdomo wake utataanza kutambua ladha baada ya wiki,
Mimi ndiye wa JF Ayatollah,secretarybird wenzio hawa
Mimi ni mtu wa Kila kitu,secretarybird wewe sio mtu wa boli?
Wasanii mnaongezeka.Mimi ni mtu wa Kila kitu,
kwanza Mimi si mtu bali jitu,
naweza mfua yeyote japo nina utu,
Ayatollah Sina roho ya kutu ✌️.
Ndo maana yake 😎.Wasanii mnaongezeka.
Eti Ayatollah 🤣Mimi ni mtu wa Kila kitu,
kwanza Mimi si mtu bali jitu,
naweza mfua yeyote japo nina utu,
Ayatollah Sina roho ya kutu ✌️.
Narudia tena, Mimi ni Ayatollah,Eti Ayatollah 🤣
Itakuwa una bipolar,Narudia tena, Mimi ni Ayatollah,
Wala siyo Sulemani Matola,
Napenda maji kuliko Coca-cola.
Wala sina changamoto,Itakuwa una bipolar,
Umeitoa kwa Omotola
Au labda unapitia msoto,Wala sina changamoto,
kumkichwa Mimi niiko moto.
Mambo yangu si kitoto,Au labda unapitia msoto,
Hazitimii zako ndoto
Kweli una maokoto,Mambo yangu si kitoto,
yaani yako moto moto,
nikiamua nachoma kitimoto,
weekend natoka na mkali mtoto,
mwangu mifukoni kumejaa maokoto,
Mifuko ya wenzangu imejaa tu kokoto.
Kama hamini njoo ghetto,Kweli una maokoto,
Au unataka uibe mali za watoto,
Wakupe mkong'oto
Wakuache pekupeku kama mpoto
Basi mwenyewe nipo na dollarsKama hamini njoo ghetto,
Au muulize bibi majoto,
mimi siibi kutoka kwa watoto,
Wala sichezi bahati nasibu ya LOTO,
bali zinashamiri tu kama wa asili uoto.
Nasikia Busu la Kenge de umbwaz,Basi mwenyewe nipo na dollars
Utafikiri nipo Dallas
Kwa kweli kama oktoba katiki,Shida ya dogo ni kuwa na ubishi ka wa Nikki,
Kafukuzwa kwa shemeji na sasa hatamaniki,
Nikija gundua nayeye oktoba katiki,
Nakuapia lazima ntampa zawadi ya dick
Mistari imekimbia
Mistari ikikimbia,Mistari imekimbia
Lines zenyewe za kuibiaMistari ikikimbia,
nenda kanywe bia,
then kimbia mita mia.
Hatayi kweyi kweyi 😂.Lines zenyewe za kuibia