Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Yawezekana. Maana umri wa miaka 27, WC 2030 atakuwa na 31, WC 2034, miaka 34. Kikubwa uhai, kiwango na kufuzu.Sema dogo Mbappe sababu umri unaruhusu anaweza kuwa mfungaji bora wa muda wote wa WC
Sasa mmeanza kujiamulia,Mistari ikikimbia,
nenda kanywe bia,
then kimbia mita mia.
Kama nayeye oktoba alitiki,Kwa kweli kama oktoba katiki,
Basi kujibizana nasi hana haki,
Kwetu sisi yeye wala siyo keki,
Tunapaswa kumchoma mkuki,
Au tumnase vibao atoke nduki.
Simnyonyi damu ila namnyonya uloto,Kweli una maokoto,
Au unataka uibe mali za watoto,
Wakupe mkong'oto
Wakuache pekupeku kama mpoto
Ayatollah Mimi nawaangalia,Sasa mmeanza kujiamulia,
South nyie hamuwezi zamia,
Tafuteni suluhu kama sa100,
Watoto yenu icecream ya shilng mia
Dahh !! πHuwa anafunga goli moja moja au mbona mpaka leo ana magoli kumiπ€£π€£π€£
πππ, Wewe ndo unatakiwa kuwa mchezaji.unataka kurekedi singeli au... ukiwa tayari sema nikuletee wachezaji.
Asitumie tu sabuni kusafisha kaniki,Kama nayeye oktoba alitiki,
Basi humu ndani wala hastahiki,
Achague mwenyewe awe fundi boutique,
Au tumpe kazi ya kusafisha kaniki,
nitaongoza mashambulizi.... hakikisha wachezaji wako tunapata allowance zetu kwa wakati, jeziya vijora kioo, uwanja wa mazoezi, NAKADHALIKAπππ, Wewe ndo unatakiwa kuwa mchezaji.
Hilo limetimia.nitaongoza mashambulizi.... hakikisha wachezaji wako tunapata allowance zetu kwa wakati, jeziya vijora kioo, uwanja wa mazoezi, NAKADHALIKA