Messi - Iniesta as Chama-Miquisson: The duals

Messi - Iniesta as Chama-Miquisson: The duals

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Kuna habari zinasambaa mitandaoni kwa kasi sana kwamba ma-star wa Simba wanahitajika na timu kubwa barani Afrika kwa udi na uvumba. Na wengine wamethubutu kusema mpira ni biashara. Ni kweli mpira ni biashara but not at the expense of our club.

Kumuondoa Chama na Konde Boy utakuwa ndio mwisho wa Simba kufikia malengo tuliyojiwekea hapo mwakani. Kwani hata Barcelona hawakuthubutu hata mara kumuuza Messi na Iniesta wakati wako kwenye pick na mpaka leo bado wamekomaa na Messi wao.

Kwa sisi mashabiki tunaotaka furaha huu utakuwa ni mkuki mchungu sana kwetu na sioni mbadala wao kupatikana haraka. Haitokuwa Simba tena tunayoijua sisi.

Basi hao Al Ahly na wao watupe golie wao uone kama watakubali hilo deal.

Simba ni mshindani na wao lengo lao ni kumpunguza nguvu mpinzani kama sio kumsambaratisha kabisa.

Wana Simba tuwe makini sana na ma-deal haya.
 
Wenzio ulaya wanakwambia mpira ni uwekezaji, mpira ni biashara lengo ni kupata faida. Ndio maana unaona kuna timu hazichukui makombe lakini wanaingiza faida kubwa kuliko aliyechukua kombe.
 
Kishingo alikuta Simba imemsajili chama halafu anataka kumvuta kwenye timu anayofundisha
 
Back
Top Bottom