mi nadhani ni system ya uchezaji kwa timu ya Barca ndio inamfanya mesi an'gae hivyo, huwa mnaona jinsi anavyofichwa akiwa timu ya taifa....so ni mzuri kiukweli ila kuna mazingira ndio yanamfanya aonekane ni mzuri kuliko kawaida.
mkalai anakuwaje national team anakuwa yeboyebo...messi ni wa kawaida mno !!
ukifanya kitu kimoja tu!!! Kwa muda wa 10 decades lazima uwe kama kichaaaaaa.
Messi si mzima yuleee ameanza soka tokea utotoni japo pia hata wengine pia wameanza utotoni kama yeye but messi iz the illest ever seen b4!
messi angekuwa mwafrika nahisi angeshafanyiwa vipimo kama ni binadamu wa kawaida!si unakumbuka semenya?