Messi - is he a human being? Wonders Demba Ba!

messi wa kawaida acheni kumpamba ..aje kuchezea timu ya malindio tuone kama atafunga goli hata moja

.....say JK awe katibu kata tuone kama ataweza kuongoza! yeah?
 
mi nadhani ni system ya uchezaji kwa timu ya Barca ndio inamfanya mesi an'gae hivyo, huwa mnaona jinsi anavyofichwa akiwa timu ya taifa....so ni mzuri kiukweli ila kuna mazingira ndio yanamfanya aonekane ni mzuri kuliko kawaida.

wakali wenzie akina lineker, rooney, etc wanakubali exceptional talent ya messi, seuze weye hata abajalo ya sinza hujachezea!
 
messi wa kawaida sana...kwangu mie hajamfikia dinyo..labda siku akipiga double hat trick..in a single match..
 
messi amecheza professional football kwa miaka 8 tu while maradona kacheza miaka 22, lakini statistics zinaonyesha kuwa messi anaweza kupita record ya maradona ndani ya miaka 4 ijayo!

blimey! chezea messi wewe!
 
Anachezeshwa na kina Xavi akiwa barca ... ndo maana timu taifa hamna kitu ......
Hata Xavi naye huwa anachezeshwa na Messi na ndo maana Messi ana goal assists nyingi kuliko Xavi. Hata akicheza katika kikosi ambacho XavIniesta hajaanza huwa anafanya mambo pia, so mkubali tu hutapungukiwa na kitu chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…