Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
The magician Lionel Messi leo ataiongoza FC Barcelona kuiondoa mashindanoni PSG ya Ufaransa. Barcelona wana akiba ya mabao 3-1 waliyoipata jijini Paris katika mechi ya kwanza. Pamoja na kurejea kwa Ibrahimovic na Verrati katika kikosi cha PSG,Messi ataudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ni bora katika soka katika kizazi kilicho uwanjani hivi sasa.
Messi atakokota,atapiga chenga na matobo,atapasia na hata kufunga itakapopatikana nafasi. Messi atafanya mambo aliyoyazoea kwa timu yake na yeye binafsi.
Wakati huo huo,Bayern Munich itapambana kufa na kupona leo kuepuka uondolwa mashindanoni na Porto ya Ureno.Porto ambao ni mabingwa wa Ulaya 2004 wana faida ya mabao 3-1 waliyoyapata jijini Lisbon,Ureno katika mechi ya kwanza.
Bayern wanapaswa kushinda 2-0 na kuendelea. PSG nao wanapaswa kushinda 3-0 jijini Barcelona. Mambo yot haynileo hapo saa 3.45 usiku.