Messi kumalizia kazi Camp Nou, Munich ni kufa na kupona

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
The magician Lionel Messi leo ataiongoza FC Barcelona kuiondoa mashindanoni PSG ya Ufaransa. Barcelona wana akiba ya mabao 3-1 waliyoipata jijini Paris katika mechi ya kwanza. Pamoja na kurejea kwa Ibrahimovic na Verrati katika kikosi cha PSG,Messi ataudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ni bora katika soka katika kizazi kilicho uwanjani hivi sasa.

Messi atakokota,atapiga chenga na matobo,atapasia na hata kufunga itakapopatikana nafasi. Messi atafanya mambo aliyoyazoea kwa timu yake na yeye binafsi.

Wakati huo huo,Bayern Munich itapambana kufa na kupona leo kuepuka uondolwa mashindanoni na Porto ya Ureno.Porto ambao ni mabingwa wa Ulaya 2004 wana faida ya mabao 3-1 waliyoyapata jijini Lisbon,Ureno katika mechi ya kwanza.

Bayern wanapaswa kushinda 2-0 na kuendelea. PSG nao wanapaswa kushinda 3-0 jijini Barcelona. Mambo yot haynileo hapo saa 3.45 usiku.
 
-Ni muujiza ambao utadumu kwa miaka hata 70 endapo Barca atapigwa 3-0 na PSG.
-Karata yangu ipo kwa PORTO kwamba wanaweza wakaingia Nusu fainal.
 
Mkuu Remote,vikosi kamili vitakavyoanza ni hivi:

[ 4-3-3 ]
[ 4-3-3 ]
line-ups :

Manuel Neuer

Fabiano


Dante

Bruno Martins Indi


Rafinha

Ivan Marcano


Jerome Boateng

Diego Reyes


Juan Bernat

Ricardo Pereira


Xabi Alonso

Casemiro


Thiago Alcantara

Hector Herrera


Philipp Lahm

Oliver Torres


Robert Lewandowski

Ricardo Quaresma


Mario Goetze

Yacine Brahimi


Thomas Mueller

Jackson Martinez

coach :
Josep Guardiola
Julen Lopetegui
 
Last edited by a moderator:
Leo cjui niangalie mechi ipi.. Ila nahisi ya mjerumani itakua kali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…