Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Mshambuliaji wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi apata majeruhi ya mkono katika mchezo wa jana wa Barcelona dhidi ya Sevilla
Katika mchezo huo Messi alisaidia upatikanaji wa goli 1 na kufunga goli 1
Mwisho wa mchezo huo Barcelona iliibuka na ushindi wa mabao 4 kwa 2
Aidha, majeraha haya ya Messi yanasababisha aukose mchezo wa mahasimu wa Ligi Kuu Hispania maarufu El Classico
Mchezo huo wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unatarajiwa kuchezwa Oktoba, 28 mwaka huu